MoviesDB

globaltv - Order by Related Videos

Hakuna Rais Aliyekula Bata Dunia Hii Kama Mobutu Sese Seko

Channel: Global TV Online & Total View: 200213

Tags:
mobutu, seseseko, kongo, drc, tajiri wa kutupwa, KUNA Rais Aliyekula Bata Dunia Hii Kama Mobutu Sese Seko?, Patrick Lumumba, Kamanyola, Alikulabata, global publishers, global tv

Add Date: January 3, 2019, 9:58 am & Duration: 00:07:35

Likes: 928 | Dislike: 134

Hakuna Rais Aliyekula Bata Dunia Hii Kama Mobutu Sese Seko

Aliyekuwa rais wa Kongo,Mobutu Sese Seko ni rais pekee wa Afrika anayedaiwa kujilimbikizia mali nyingi kipindi hicho kiasi kwamba baadhi ya watu kudai kwamba hakuna rais aliyeweza kumfikia hata robo.

Historia inaonyesha kiongozi huyu alikuwa tajiri wakutupwa ndani ya ufukara wa kunuka, historia yake inawezakukutia simanzi sana.

#MOBUTUSESESEKO

Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK http://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.

JKT48 Namida Surprise @Acara HUT GlobalTv ke 12 .JKT48 Namida Surprise @Acara HUT GlobalTv ke 12 .
00:02:36April 18, 2015, 7:20 am
JKT48 Namida Surprise @Acara HUT GlobalTv ke 12 .

Channel: Gleo Park & Total View: 8058

Tags:
No Video Tags

Add Date: April 18, 2015, 7:20 am & Duration: 00:02:36

Likes: 40 | Dislike: 2

??????

Ayu Ting Ting - Sik Asik [Amazing 14 Global TV]Ayu Ting Ting - Sik Asik [Amazing 14 Global TV]
00:02:17October 8, 2016, 11:42 am
Ayu Ting Ting - Sik Asik [Amazing 14 Global TV]

Channel: HITS on TV & Total View: 80924

Tags:
Live, Performance

Add Date: October 8, 2016, 11:42 am & Duration: 00:02:17

Likes: 950 | Dislike: 30

Broadcast on :

Subscribe Our Channel Please Click This : http://goo.gl/ef7ITb

Twitter HITS on TV: http://twitter.com/HITSonTV

Don't reupload our content but you can share our video.
Production 2016 © Copyrights & Trademark by HITS Records

RAYVANNY MSIBANI - "Wasanii Tuna STRESS, Nitamkumbuka GODZILLA Sana"

Channel: Global TV Online & Total View: 45168

Tags:
RAYVANNY, GODZILLA, KIFO CHA GODZILLA, POCHI NENE REMIX, WCB, DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, MAZISHI YA GODZILLA, SHILOLE, MWASITI, DADA WA GODZILLA ASIMULIA, GLOBAL TV ONLINE

Add Date: February 13, 2019, 10:06 am & Duration: 00:10:15

Likes: 312 | Dislike: 29

RAYVANNY MSIBANI - "Wasanii Tuna STRESS, Nitamkumbuka GODZILLA Sana"

Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Rayvanny, amefika msibani kwa Godzilla maeneo ya Tegeta Salasala jijini Dar na kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Enzi za uhai wake Marehemu, Rayvanny , aliwahi kufanya kolabo na Godzilla kwenye wimbo wake wa Pochi Nene hivyo wawili hao walikuwa ni marafiki.

Rayvanny amepiga stori na Global TV akiwa msibani hapo na kufunguka mambo mengi jinsi ambayo alimfahamu marehemu Godzilla.

#RIPGODZILLA

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID:
http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

ISABELLA AMWAGA MACHOZI: "GODZILLA ALINIFUKUZA"ISABELLA AMWAGA MACHOZI: "GODZILLA ALINIFUKUZA"
00:05:58February 13, 2019, 3:44 am
ISABELLA AMWAGA MACHOZI: "GODZILLA ALINIFUKUZA"

Channel: Global TV Online & Total View: 117842

Tags:
MSIBA WA GODZILLA, KIFO CHA GODZILLA, MAMA WA GODZILLA, GODZILLA AFARIKI DUNIA, KILICHOMUUA GODZILLA, ISABELLA MPANDA, DADA WA GODZILLA, MSIBANI KWA GODZILLA, CHANZO CHA KIFO CHA GODZILLA, DAKIKA ZA MWISHO ZA GODZILLA, GLOBAL TV ONLINE, ISABELLA, ASHINDWA, KUONGEA, Godzilla Alinifukuza Sitamsahau

Add Date: February 13, 2019, 3:44 am & Duration: 00:05:58

Likes: 450 | Dislike: 58

ISABELLA AMWAGA MACHOZI: "GODZILLA ALINIFUKUZA"

Taarifa iliyotufikia hivi punde ni kuhusiana na Tasnia ya Bongo Fleva kupata pigo baada kuondokewa na Rapa maarufu nchini, Godzilla ambaye amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Jumatano, Februari 13, 2019 akiwa nyumbani kwao, maeneo ya Salasala, Dar es Salaam.

Global TV imefika msibani na kuzungumza na mwanamuziki ambaye ni mtu wa karibu na Godzilla, Isabella Mpanda, na amemuelezea rafiki yake huyo mpaka dakika za mwisho umauti unamkuta.

#RIPKINGZILLA

Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…

http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: instagram.com/globalpublishers

KUMPULAN STATION ID GLOBAL TV 2006-2017KUMPULAN STATION ID GLOBAL TV 2006-2017
00:04:39May 5, 2018, 1:46 am
KUMPULAN STATION ID GLOBAL TV 2006-2017

Channel: Warkop's 99 & Total View: 16171

Tags:
global tv, station id global tv, station ID, MTV, GTV, glossie dan t-bot

Add Date: May 5, 2018, 1:46 am & Duration: 00:04:39

Likes: 32 | Dislike: 8

Kumpulan station Id global tv tahun 2006-2017. Mulai dari saat global tv menayangkan MTV sampai saat ganti nama

Global TV Online Askofu anaswa gesti!Global TV Online Askofu anaswa gesti!
00:01:28February 24, 2016, 4:53 am
Global TV Online Askofu anaswa gesti!

Channel: Global TV Online & Total View: 401370

Tags:
global, publishers, uwazi, umbea, udaku, fumanizi

Add Date: February 24, 2016, 4:53 am & Duration: 00:01:28

Likes: 252 | Dislike: 104

Kilichomuua GODZILLA, Dada Asimulia "Aliona Watu Wanamfata"

Channel: Global TV Online & Total View: 388181

Tags:
GODZILLA, KIFO CHA GODZILLA, DADA WA GODZILLA, MAMA MZAZI WA GODZILLA, GODZILLA AFARIKI DUNIA, Kilichomuua GODZILLA, Dada Asimulia, GODZILLA ALIVYOFARIKI DUNIA, GLOBAL TV ONLINE

Add Date: February 13, 2019, 1:26 am & Duration: 00:10:16

Likes: 1519 | Dislike: 335

Kilichomuua GODZILLA, Dada Asimulia "Aliona Watu Wanamfata"

Taarifa iliyotufikia hivi punde ni kuhusiana na Tasnia ya Bongo Fleva kupata pigo baada kuondokewa na Rapa maarufu nchini, Godzilla ambaye amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Jumatano, Februari 13, 2019 akiwa nyumbani kwao, maeneo ya Salasala, Dar es Salaam.

Global TV imefika msibani na kuzungumza na Dada wa Marehemu ambaye amesimulia A-Z Dakika zake za mwisho kuanzia alivyoanza kuumwa mpaka umauti kumfika.

#RIPGODZILLA

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

EXCLUSIVE: Mama Mzazi wa MUNA Azungumza Yote Kuhusu MUNA!

Channel: Global TV Online & Total View: 134931

Tags:
EXCLUSIVE: Mama Mzazi wa MUNA Azungumza Ukweli Wote Kuhusu MUNA!, MUNALOVE, MAMA MZAZI WA MUNA, SAKATA LA MUNA KUTELEKEZA MTOTO, WATOTO WA MUNA, PATRICK WA MUNA, MSIBA WA MTOTO WA MUNA, CASTO DICKSON, PETER ZAKARIA KOMU, MAZISHI YA MTOTO WA MUNA, GLOBAL TV ONLINE

Add Date: September 15, 2018, 1:34 am & Duration: 00:16:17

Likes: 786 | Dislike: 130

#MAMAMZAZIWAMUNA #MUNALOVE

EXCLUSIVE: Mama Mzazi wa MUNA Azungumza Yote Kuhusu MUNA!

GLOBAL TV ONLINE imefanya mahojiano maalum na Mama Mzazi wa Muigizaji Maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, anayeitwa Bi Moyo na amezungumzia ukweli wote kuhusiana na maisha ya Binti yake huyo.

http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:

http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: http://www.instagram.com/globalpubli..

http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: http://www.instagram.com/globalpubli..SSI

Kumpulan Endcap Global TV (2007-sekarang)Kumpulan Endcap Global TV (2007-sekarang)
00:00:40June 23, 2017, 12:26 am
Kumpulan Endcap Global TV (2007-sekarang)

Channel: Gene Generation FX DX Time & Total View: 114428

Tags:
No Video Tags

Add Date: June 23, 2017, 12:26 am & Duration: 00:00:40

Likes: 125 | Dislike: 56

Ini adalah kumpulan kode produksi Global TV dari tahun ke tahun.

Mohon maaf tidak menerima komen ngaco, ngawur dan tanggal pemakaian

Ibaada ya Kumuaga GODZILLA Iliyofanyka Kanisa la Romani Salasala

Channel: Global TV Online & Total View: 28513

Tags:
KIFO CHA GODZILLA, MSIBA WA GODZILLA, PAUL MAKONDA, MAZISHI YA GODZILLA, IBADA YA KUMUAGA GODZILLA, MAMA MZAZI WA GODZILLA, MTOTO WA GODZILLA, KILICHOMUUA GODZILLA, DADA WA GODZILLA, DOGO JANJA, BILLNASS, GLOBAL TV ONLINE, RC DSM, BARNABA, MARCO CHALI, LAMAR, MADEE

Add Date: February 16, 2019, 5:53 am & Duration: 02:47:53

Likes: 192 | Dislike: 24

Ibaada ya Kumuaga GODZILLA Iliyofanyka Kanisa la Romani Salasala

Mwili wa Mwana Hip Hop Nguli Bongo, Golden Jacob 'Godzilla' tayari umewasili nyumbani kwao Tegeta Salasala jijini Dar.

Baada ya kuwasili nyumbani kwao mwili huo ukachukuliwa na kupelekwa katika kanisa Katoliki lililopo maeneo ya Tegeta kwa ajili ya ibada ya kuuaga mwili wake na kisha kupumzishwa katika nyumba yake ya milele kwenye Makaburi ya Kinondoni.

Enzi za uhai wake, Godzilla aliwahi kutikisa tasnia hiyo kwa ngoma kali kama vile, Nataka Mkwanja, First Class aliyomshirikisha Mwasiti, Thanks God aliyomshirikisha Walter Chilambo, Stay, Nataka, KingZilla, Get High na Lakuchumpa.

#RIPGODZILLA

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

Mwili wa GODZILLA Ukiwasili Nyumbani, Wapelekwa Kanisani

Channel: Global TV Online & Total View: 83803

Tags:
LIVE | Mwili wa GODZILLA Ukiagwa Nyumbani Kwao Salasala, GODZILLA, MAZISHI YA GODZILLA, MAMA MZAZI WA GODZILLA, GLOBAL TV ONLINE, MWILI WA GODZILLA UKIWASILI NYUMBANI, DADA WA GODZILLA, DJ FETTY, XXL, B DOZEN, ADAM MCHOMVU, ROMA, RAYVANNY, MAKABURI YA KINONDONI, WAKAZI, NIKKI MBISHI

Add Date: February 16, 2019, 12:59 am & Duration: 00:27:22

Likes: 511 | Dislike: 78

Mwili wa GODZILLA Ukiwasili Nyumbani, Wapelekwa Kanisani

Mwili wa Mwana Hip Hop Nguli Bongo, Golden Jacob 'Godzilla' tayari umewasili nyumbani kwao Tegeta Salasala jijini Dar tayari kwa ajili ya kufanyiwa ibada na kisha kupumzishwa katika nyumba yake ya milele kwenye Makaburi ya Kinondoni,

Enzi za uhai wake, Godzilla aliwahi kutikisa tasnia hiyo kwa ngoma kali kama vile, Nataka Mkwanja, First Class aliyomshirikisha Mwasiti, Thanks God aliyomshirikisha Walter Chilambo, Stay, Nataka, KingZilla, Get High na Lakuchumpa.

#RIPGODZILLA

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

DJ Fetty ''GODZILLA, Natamani Mtu Aniambie Siyo Kweli" - Part 2

Channel: Global TV Online & Total View: 15303

Tags:
DJ FETTY, ADAM MCHOMVU, B DOEN, XXL CLOUDS FM, KIFO CHA GODZILLA, MSIBA WA GODZILLA, ISABELLA, MTOTO WA GODZILLA, MAMA MZAZI WA GODZILLA, MAMA GODZILLA, GLOBAL TV ONLINE

Add Date: February 14, 2019, 9:06 pm & Duration: 00:11:38

Likes: 132 | Dislike: 6

DJ Fetty ''GODZILLA, Natamani Mtu Aniambie Siyo Kweli" - Part 2

Tasnia ya muziki nchini na watanzania wote kwa ujumla tunaendelea kuomboleza kifo cha mwanamuziki nguli wa Hip Hop, Godzilla, kilichotokea usiku wa kuamkia jana.

Global TV imemtafuta Aliyekuwa Mtangazaji wa Clouds FM, Dj Fetty, ambaye kwa kiasi kikubwa ana mchango mkubwa katika muziki wa Godzilla, mpaka alipokuwa amefikia.

#RIPGODZILLA

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

Dada Ake DIAMOND Atuma Ujumbe Mzito "Baba ana hali mbaya"

Channel: Global TV Online & Total View: 155859

Tags:
daimond, rayvany, wasafi t v, wcb, mbosso, tetema, mwanza, lava lava, boy from tandale, hamisa mobeto, mama diamond, baba diamond, Global Tv Online

Add Date: February 15, 2019, 11:19 am & Duration: 00:04:57

Likes: 1117 | Dislike: 88

Dada Ake DIAMOND Atuma Ujumbe Mzito "Baba ana hali mbaya"

Siku chache zilizopita Dada WA Mwanamuziki Diamond Platnumz, anayeishi nchini London, alitua Bongo na kupokelewa na Baba mzazi wa mwanamuziki huyo mzee Abdul Jumaa.....

Lengo LA Dada huyo kuja Tz ni kutaka kuonana na mdogo wake Diamond ili wazungumze na ikiwezekana wasuluhishe tofauti zao.

Akipiga stori na Global TV Dada huyo amemuomba Diamond Kukubali kuonana nae kwani Baba yake ana hali mbaya kiafya kutokana na maradhi ya miguu yanayomsumbua.

#Diamond #BabaDiamond

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

FULL VIDEO: GODZILLA ALIVYOZIKWA, MAMA AISHIWA NGUVU!FULL VIDEO: GODZILLA ALIVYOZIKWA, MAMA AISHIWA NGUVU!
00:38:27February 16, 2019, 6:58 am
FULL VIDEO: GODZILLA ALIVYOZIKWA, MAMA AISHIWA NGUVU!

Channel: Global TV Online & Total View: 12225

Tags:
LIVE MAKABURINI: GODZILLA AKIZIKWA MUDA HUU KINONDONI, GODZILLA, MAZISHI YA GODZILLA, MAMA MZAZI WA GODZILLA, RC DSM, BASATA, GODFREY MNGEREZA, PROFESA JAY, DOGO JANJA, CHEGE, MADEE, MAMA DIAMOND, MAKABURI YA KINONDONI, GLOBAL TV ONLINE, NAY WA MITEGO, BABU TALE

Add Date: February 16, 2019, 6:58 am & Duration: 00:38:27

Likes: 109 | Dislike: 8

FULL VIDEO: GODZILLA ALIVYOZIKWA, MAMA AISHIWA NGUVU!

Mwili wa Mwana Hip Hop Nguli Bongo, Golden Jacob 'Godzilla' tayari umewasili nyumbani katika amakaburi ya Kinondoni jijini Dar tayari kwa ajiili ya kupumzishwa katika nyumba yake ya milele.

#RIPGODZILLA

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter:

www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

KIFO CHA GODZILLA: Diamond, Alikiba, Dimpoz, Kajala Walivyoguswa!

Channel: Global TV Online & Total View: 1226

Tags:
VILIO VYATANDA Wasanii Wamlilia Godzillah, VILIO VYATANDA KILA KONA Wasanii Wamlilia Godzillah, MSIBA WA GODZILLA, MSANII WA BONGO FLEVA, KIFO CHA MSANII GODZILAA, LUGALO, DIAMOND, OMMY DIMPOZI, VANESSA, ALIKIBA, WASAFI, LAVALAVA, MBOSSO, FDQ, NEAY WA MITEGO, GLOBAL TV ONLINE, KIFO CHA GODZILLA: Diamond, Alikiba, Dimpoz, Kajala Walivyoguswa!

Add Date: February 13, 2019, 3:30 am & Duration: 00:04:42

Likes: 8 | Dislike: 0

KIFO CHA GODZILLA: Diamond, Alikiba, Dimpoz, Kajala Walivyoguswa!

KUFUATIA kifo cha Mkali wa Hip Hop Bongo, GodZilla, kilichotokea mapema leo, wasanii mbalimbali kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wameposti na kutoa pole kwa familia na kumtakia mapumziko mema msanii huyo.

#RIPGODZILLA

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

SKETSA TAWA SALAH HARI | Sketsa Tawa GlobalTV 2017SKETSA TAWA SALAH HARI | Sketsa Tawa GlobalTV 2017
00:07:37September 19, 2017, 4:10 am
SKETSA TAWA SALAH HARI | Sketsa Tawa GlobalTV 2017

Channel: officialgtvid & Total View: 695468

Tags:
sketsa tawa, globaltv, comedy, komedi, artis indonesia, series, webseries, denny cagur, cagur

Add Date: September 19, 2017, 4:10 am & Duration: 00:07:37

Likes: 2278 | Dislike: 293

Setiap Senin - Minggu | 02:30 WIB

Sebuah acara sinema komedi yang akan menampilkan beberapa sketsa adegan lucu, kocak dan menghibur. Diperankan oleh komedian handal seperti Daus Separo, Deny Cagur, Rina Nose, Adit Sayuti dll. Dijamin bakal menghibur dan mengocok perut anda dengan alur cerita yang singkat, jelas, serta sering ditemui dalam kehidupan sehari-hari. Yuk, saksikan ekspresi kelucuannya dalam Sketsa Tawa di GlobalTV Seru!

Pengen lihat program-program Global TV secara live? Nah ini kalian bisa lihat pada live streamming Global TV di :
http://globaltv.co.id/streaming atau http://www.metube.id/live/GlobalTV

Atau ketinggalan acara favorit Global TV? Langsung cek aja channel kita di www.metube.id :

Buletin Indonesia : http://www.metube.id/channel/53/

Obsesi : http://www.metube.id/channel/54/

Travel Addict : http://www.metube.id/channel/6850/

Mendadak Seleb : http://www.metube.id/channel/7159/

Ada Ada Saja : http://www.metube.id/channel/135/

Arjuna ...

Global Tv - 2010Global Tv - 2010
00:00:11November 8, 2010, 6:22 pm
Global Tv - 2010

Channel: caracol3000peru & Total View: 8956

Tags:
redglobal, television, peru, hechoporlagente, claqueta

Add Date: November 8, 2010, 6:22 pm & Duration: 00:00:11

Likes: 6 | Dislike: 3

La nueva ID

Maneno ya Prof Jay, Fid Q Msibani kwa GodzillaManeno ya Prof Jay, Fid Q Msibani kwa Godzilla
00:04:22February 16, 2019, 3:36 am
Maneno ya Prof Jay, Fid Q Msibani kwa Godzilla

Channel: Global TV Online & Total View: 36667

Tags:
PROFESA JAY, MAZISHI YA GODZILLA, KUAGWA KWA MWILI WA GODZILLA, FID Q, B DOZEN, ADAM MCHOMVU, MAMA MZAZI WA GODZILLA, MTOTO WA GODZILLA, IBADA YA KUMUAGA GODZILLA, GLOBAL TV ONLINE, MARCO CHALI, RC MAKONDA, DOGO JANJA, MADEE, DUMA

Add Date: February 16, 2019, 3:36 am & Duration: 00:04:22

Likes: 173 | Dislike: 16

Maneno ya Prof Jay, Fid Q Msibani kwa Godzilla

Wasanii kutoka tasnia mbalimbali wamejitokeza katika viwanja vya Salasala kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa Msanii mwenzao, Golden Jacob 'Godzilla' , ambaye alifariki dunia juzi Februari 13.

Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na Profesa Jay na Fid Q ambao walipopata fursa ya kutoa pole kwa familia waliwahasa kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu.

Enzi za uhai wake, Godzilla aliwahi kutikisa tasnia hiyo kwa ngoma kali kama vile, Nataka Mkwanja, First Class aliyomshirikisha Mwasiti, Thanks God aliyomshirikisha Walter Chilambo, Stay, Nataka, KingZilla, Get High na Lakuchumpa.

#RIPGODZILLA

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

GLOBAL TV ONLINE: MAAJABU YA MTOTO KUFUFUKAGLOBAL TV ONLINE: MAAJABU YA MTOTO KUFUFUKA
00:04:19April 13, 2015, 11:23 pm
GLOBAL TV ONLINE: MAAJABU YA MTOTO KUFUFUKA

Channel: Global TV Online & Total View: 508203

Tags:
GLOBAL TV ONLINE, Global Tv Online

Add Date: April 13, 2015, 11:23 pm & Duration: 00:04:19

Likes: 569 | Dislike: 225

HARMONIZE ALIVYOIBUKA MSIBANI KWA GODZILLA, ULINZIHARMONIZE ALIVYOIBUKA MSIBANI KWA GODZILLA, ULINZI
00:02:31February 16, 2019, 4:49 am
HARMONIZE ALIVYOIBUKA MSIBANI KWA GODZILLA, ULINZI

Channel: Global TV Online & Total View: 18388

Tags:
HARMONIZER, MSIBA WA GODZILLA, DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, WCB, RAYVANNY, MAZISHI YA GODZILLA, MAMA MZAZI WA GODZILLA, RC DSM, PAUL MAKONDA, PROFESA JAY, DOGO JANJA, MADEE, MWASITI, SHILOLE, MTOTO WA GODZILLA, KUAGWA KWA GODZILLA, GLOBAL TV ONLINE

Add Date: February 16, 2019, 4:49 am & Duration: 00:02:31

Likes: 153 | Dislike: 8

HARMONIZE ALIVYOIBUKA MSIBANI KWA GODZILLA, ULINZI MKALI!

Mwanamuziki kutoka WCB, Harmonize, ameibuka msibani kwa Mwana Hip Hop, Godzilla, akiwa na baba yake mzazi huku nyuma kukiwa na ulinzi wake mkali.

#RIPGODZILLA

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

VIDEO: Kijana Alivyojirusha Baharini Ili Afe, Alivyookolewa!

Channel: Global TV Online & Total View: 11012

Tags:
BOTI YA AZAM, MTU AJIRUSHA BAHARINI, AFANYA JARIBIO LA KUJIUA BAHARINI, GLOBAL TV ONLINE, MATUKIO YA KUJIUA

Add Date: February 12, 2019, 1:33 am & Duration: 00:03:06

Likes: 36 | Dislike: 9

VIDEO: Kijana Alivyojirusha Baharini Ili Afe, Alivyookolewa!

MTU mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja amenusurika kifo baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye Boat inayodaiwa kuwa ni ya Azam iliyokuwa ikitoka jijini Dar es Salaam kuelekea Unguja, jana Februari 11, 2019 majira ya saa 6 mchana.

Mtu huyo ambaye hakutambulika haraka wala sababu za kujirusha kwake baharini zikiwa hazifahamiki, aliokolewa mapema na kukimbizwa hospitali.

Endelea kufuatilia taarifa zetu kujua zaidi kilichotoke.

TRA http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

Global TV Online: Baba Diamond Platnumz Ashinda Njaa

Channel: Global TV Online & Total View: 480776

Tags:
global, publishers, uwazi, umbea, udaku, fumanizi

Add Date: March 24, 2016, 11:52 pm & Duration: 00:06:19

Likes: 1175 | Dislike: 284

DJ FETTY - ''Mwanzo Mwisho wa Maisha ya Godzilla'' - Part 1

Channel: Global TV Online & Total View: 7881

Tags:
DJ FETTY, ADAM MCHOMVU, B DOZEN, HAMIS MANDI, KIFO CHA GODZILLA, MSIBA WA GODZILLA, XXL, GODZILLA AKIFANYA FREESTYLE, GLOBAL TV ONLINE, MAMA MZAZI WA GODZILLA

Add Date: February 14, 2019, 8:55 am & Duration: 00:15:30

Likes: 61 | Dislike: 5

DJ FETTY - ''Mwanzo Mwisho wa Maisha ya Godzilla'' - Part 1

Tasnia ya muziki nchini na watanzania wote kwa ujumla tunaendelea kuomboleza kifo cha mwanamuziki nguli wa Hip Hop, Godzilla, kilichotokea usiku wa kuamkia jana.

Global TV imemtafuta Aliyekuwa Mtangazaji wa Clouds FM, Dj Fetty, ambaye kwa kiasi kikubwa ana mchango mkubwa katika muziki wa Godzilla, mpaka alipokuwa amefikia.

#RIPGODZILLA

http://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

全球电视Global TV全球电视Global TV
00:01:21June 13, 2018, 5:28 am
全球电视Global TV

Channel: Robert Wo & Total View: 9096

Tags:
No Video Tags

Add Date: June 13, 2018, 5:28 am & Duration: 00:01:21

Likes: 90 | Dislike: 0

GlobalTV .apk
http://mega.nz/#!x6JxkbiL!KieUnK1ypm49GKLm8evEW0wC7ps8VTxUVCG5O7pCPhs
http://ln.sync.com/dl/91ce19440/t4ggj38q-dprcam7f-jgk4xheu-6a32nfdy
世杯/美食/好多在友窝 - 记下有更新
http://youtu.be/iS9samLvfPE
http://youtu.be/DLzgRcN2l3s
体育 BOBO Sport .apk
http://mega.nz/#!k75xHL6C!pA_E5k7bLtVIfy2dbnvwwkfYXMajqHQvy3z6ByU_3YM

SSIG Global TV sampleSSIG Global TV sample
00:05:43February 12, 2019, 10:36 pm
SSIG Global TV sample

Channel: Samoa Solidarity & Total View: 359

Tags:
Samoa, SSIG Global, LTRA 2008

Add Date: February 12, 2019, 10:36 pm & Duration: 00:05:43

Likes: 8 | Dislike: 1

SSIG Global TV

Mais ›› | Greys Anatomy S15E11 720p HDTV x264-KILLERS[eztv] mkv | 1942 (2)